Vi sätter oss i ringen
En sång på swahili, språket som talas i Tanzania, men även i flera länder.
Melodi: Vi sätter oss i ringen
Twakaa Kwenye duara
Twashika mikono
Sisi ni ndugu wengi
tunaopendana
Kvani Mungu ni baba
Dunia ni kao
ni rafiki wa wote
dunia jueni
Twakaa Kwenye duara . . .
Asante ewe baba
Kwa ulimwengu huu
Tuwekw jamaa moja
Na kubwa ya wote